Breaking News

WASANII WA TMK WANAUME CHEGE NA TEMBA WATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA


Vilevile waliweza kutembelea idara mbalimbali na kujionea jinsi gani Ubalozi wetu hapo jijini London unavyofanya kazi hususani katika idara nyeti ya Uhamiaji inayoongozwa na ofisa Ambokile na Kupiga Picha za pamoja wakiwa na Mh Naibu Balozi Mh Chabaka Kilumanga Pamoja na baadhi ya maofisa wa Ubalozi.

No comments