Uganda wapo tofauti na sisi katika video: Mr Blue
Msanii Mr blue ambaye wiki mbili zilizopita alikuwa nchini Uganda kwa
ajili ya kufanya video na msanii Navio kutoka Uganda alifunguka na
kusema kuwa ameona tofauti kubwa sana katika ufanyaji wa video bongo na
nchini Uganda
Amesema kuwa wenzetu kule wanatumia muda mrefu katika kufanya maandalizi
hasa ya kufanya setting za vifaa kuliko muda wa kufanya shoooting
yenyewe.
No comments