Breaking News

CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI

SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI;;;
1. Halima………muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula.

2. Chausiku…..nipe PIN yako niwe nakupigia

3. Siwema….nimechokaje, nimeshinda Shoprite natengeneza nywele

4. Gulo….Boifrend wangu kanambia likizo ya summer mwaka huu London nikale Chrismas

5. Cynthia…Nimenunua BlackBerry wamenambia PIN nikaipitie kesho

6. Fulo....Mi napendaga kusafiri na Presishen, napenda viti vya dirishani, mtu unakaa unafungua kioo chako hewa safiii mpaka mwisho wa safari.:p

7. Fatu….kiukweli mi niliipenda London kuliko Uk
Mtoto alimuuliza baba yake eti baba ukikuta noti ya sh.10,000 na sh. 5,000 utaokota ipi? Baba akajibu we ----- nini? Naokota ya sh. 10,000. Mtoto: We ndo -----! mimi naokota zote!!!
Kuna majambazi walifanikiwa kuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja akawambia"Oyaa mi nimechoka,tus

No comments