Msanii wa Hip Hop maarufu kama Nikki Mbishi leo jioni baada ya kuweka picha ambayo iliweza kukera watu wengi huku wengine wakijiuliza maswali mengi juu ya picha hiyo lakini hawakuweza kupata jibu juu ya picha hiyo kwamba alikuwa anamaanisha nini.
NIKKI MBISHI AWAKERA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUWEKA PICHA KATIKA MTANDAO
Reviewed by Isubamen
on
2/12/2013
Rating: 5
No comments