AFANDE SELE AIRUDISHA TENA WATU PORI KWA KASI ZAIDI
Msanii wa Bongo Fleva kutoka mji kasoro bahari Morogoro almaarufu kama
Afande Sele anayekubalika kwa mashabiki hata kwa wasanii wenzake kwa
kutoka na utunzi wake wa mashairi mazuri,sasa latest info kutoka kwa Afande Sele ni kwamba leo ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "Amani na Upendo" akiwa na Koba MC.Baada ya hapo kupitia katika ukurasa wake wa Facebook aliweza kuandika huu ujumbe baada ya kuiachia ngoma hiyo mpya.
No comments