Q CHIEF NDANI YA BBA!!!!!!!!!!!!!
Kutoka 255 ya xxl ya Clouds Fm, mtu mzima Q
chief, amehabarisha hatua aliyoichukua leo hii, kuelekea katika office
za MultChoice zilizopo barabara ya Ally Hassan Mwinyi, na kuchukua form
kwa ajili ya usahili wa kumpata muwakilishi atakaeiwakilisha Tanzania
katika mashindano hayo mwaka 2013.Qchief amekua ni mtu maarufu wa pili
kuchukua form baada ya mwanadada Wema Sepetu kuchukua form wiki
iliyopita