Breaking News

MAGAZETI YA UDAKU BWANA NOMA! ET DIAMOND KAWA BEKI TATU KWA WEMA SEPETU???? JIONEE HAPA


NYOTA asiye na mpinzani katika muziki wa kizazi kipya kwa sasa, Nasib Abdul ‘Diamond’ ambaye amerejesha penzi lake kwa malikia wa filamu Tanzania, Wema Sepetu, anadaiwa kuhamia nyumbani kwa mrembo huyo mwenye kuongoza kwa mikasa Bongo, aishiye Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.
" LINAPATIKANA MTAANI LEO HADI IJUMAA DAKA KOPI YAKO"

No comments