CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI 9
Mwalimu mmoja wa shule zetu kama nilizosoma mimi shule za msingi yani
alimuagiza mwanafunzi wake akichanganya lugha ya kiswahili na
kiingereza...... MWALIMU; we Evarist nifatie stick nimtandike huyu John
MWANAFUNZI: mwalimu sasa hapa ni mbali na dukani ntazipata wapi hata
hela hujanipa MWALIMU: nimesema lete stick alaaa BASI MWANAFUNZI
AKAKIMBIA NYUMBANI KWAO KUCHUKUA STICK ZA KUCHOKONOLEA MENO........
BAADA YA MUDA KAMA DK 30 AKARUDI SHULE ......MWALIMU: enhee we ulifata
mpaka wapi na mbona hujaileta MWANAFUNZI: mwalimu nyumbani ni mbali
sana lakini hata hvyo mama kanipa haka kapakti kazma...... MWALIMU
AKASHNDWA HATA KUMCHAPA
No comments