CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI 3
Msikie mwehu huyu alienda kwa rafiki yake kupiga story, mara mvua kubwa
ikanyesha mshkaji akabidi amwambie rafiki yake usijali utalala hata hapa
sebuleni kwa kuwa mvua kubwa! jamaa akasema poa Nitalala usijali.!
mwenyeji alipoingia chumbani kwake kulala kama dakika kumi akatoka
chumbani akamkuta rafiki yake amelowa chapachapa alipomuuliza vipi mbona
hivyo.? Jamaa akajibu .....Nilienda kuchukua shuka nyumbani..!
No comments