Breaking News

LORD EYEZ AKIFANYA NGOMA YAKE MPYA NDANI YA BONGO RECORD

Msanii wa Bong Fleva kutoka A town city almaarufu kama Lord Eyez baada ya kutamba na ngoma kali inayofanya vizuri hapa Tzee inayofahamika kwa jina la Sanaa.Sasa latest info nyingine kutoka Lord Eyez ni kwamba baada ya kurudi uraiani siku hizi chache aliweza kwenda ndani ya Bongo Record kufanya ngoma yake nyingine mpya kwa ajili ya mashabiki wake,lakini msanii huyu akuweza kutaja jina la hiyo ngoma kwani alisema anataka kufanya suprise kwa mashabiki wote wa Hip Hop hapa nchini. Huo ndiyo ujumbe kutoka kwa P Funk ambao aliandika jana usiku baada ya Lord Eyez kuanza kurecord ngoma yake mpya.

No comments