RECHO ATOA UFAFANUZI JUU YA PICHA HII
Jana kupitia mitandao ya jamii, kulikua na mzunguko wa picha hii kila
kona ya mitandao hiyo, huku ikiwaacha mashabiki kujiuliza maswali mengi
na wengine kudai kuwa inawezekana kuna watu tu wameamua ku edit picha
kwa madhumuni ya kuwachafu wasanii hawao ambae ni Lina kushoto, Recho
kulia na Diamond.
kupitia simu tumefanikiwa kumpata Recho ambae yupo mkoani Iringa kwa ajili ya show ya leo na haya ndio aliyoyasema.
"hiyo picha ni hali tu ya kawaida, na wala hatukua peke yetu tulikuwa na
wasanii wenzetu na presenter wengine tulikuwa tunaogelea,na tulikua
tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile
alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati
mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafika huko.
tulikua sehem to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe
sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila
mwingine anachukua na kuanza kusambaza sio vizuri"
msikilize hapa chini
No comments