Breaking News

CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI 12

1. BABA:"Mbona unafeli kila mtihani mwanangu?"
MTOTO:"Sababu sina akili."
BABA:"Ooh,sasa ngoja nikupige fimbo za kutosha ili
uwe na akili mshenzi
wewe!"
MTOTO:"Ingekuwa fimbo ndio
humfunza mtu kuwa na akili,basi punda
na farasi wangekuwa MAPROFESA."



No comments