CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI 6
Mchaga. Mchaga alipata ajali alipozinduka pale
hospitali akauliza "nipo wapi hapa?" Nesi akajibu,"umepata ajali,
hapa upo hospitali. Bahati mbaya umekatika mkono." Mgonjwa: Na je saa
yangu ipo wapi ya Rolex? Ipo mzee, nesi alijibu. Nesi: Mkeo na
watoto wapo hapa kukufariji. Mgonjwa: Yeuwi... Wamefunga duka?
No comments