Siri Baba: mwanangu, enhe shika hii 500Tsh usimuambie
mama yako kuwa nimelala na housegirl. Mtoto: sitaki, tatizo we baba
ni mbahiri sana mwenzio mama akilala na dereva ananipaga 1,000Tsh.
CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI
Reviewed by Isubamen
on
5/18/2015
Rating: 5
No comments